MSANII RAYVANNY ANYAKUA TUZO YA BET Kwa mara ya kwanza

Collins 0

MSANII RAYVANNY ANYAKUA TUZO YA BET Kwa mara ya kwanza tanzania tunaandika historia katika tuzo kubwa za BET, Rayvany Boy anatutoa kimasomaso kwa kutwaa tuzo hii ya Bet Rayvanny alikuwa kwenye Kipengele cha Viewer's Choice Best New International Act 2017 djmwanga Follow 1 HOUR AGO 75 likes 0 comments 🔥🔥👏👏 #Repost @diamondplatnumz ・・・ @rayvanny is THE BET Viewers Choice Best New International Act 2017 !!!!!!!!!!!!! WOOOOOOOOOYOOOOOOOO!!!!!!!..... Nikishindwa kwa Mkono wa Kulia, ntatumia hata Mkono wa Kushoto.....ila lazma ifike @Wcb_Wasafi TANZANIA!!!! Chkua hiyo😛 #Wcb_Wasafi #WinningTeam !!!!...Suit by @Speshoz
..If Yo u are a Music Artist , Be it Upcoming or Famous And You wish To Drop Your Music For Fans To Access Online .You can chek for whatsapp no; +254740708590 or Email: info.celebu@gmail.com

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.