STEVE Nyerere Amponda Erick Omondi, Adai Watanzania Wanaomkubali ni Wajinga

0


Mwigizaji huyo wa comedi alidai hivyo alipokuwa akihojiwa na e news ya eatv, amesema hana kipaji cha kuchekesha bali kukopi nyimbo za watu na watanzania ni wajinga ndio maana wanamkubali mtu kama huyo kuwa ni mchekeshaji VIDEO:


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.