Bahati ft. Diana Marua - Mtaachana Tuu (Lyrics, Audio, Video Mp3 Download)
Lyrics
(EMB Records)
Wanacommenti, Insta Twitter nawacheki
Wanadai mtaachana tu
Wanacommenti, Chibu na Zari walidate
Ata na nyinyi pia mtaachana tu
Omuwano, kuni na munji
Hegu simunange
Dada ukoze bingi
Sura ya mama urembo kwa face
Nilikutafutanga aah kama shilingi
Ombi la kwangu niahidi mi nawe milele
Sije tengana yashinde maneno ya wale
Wanaosema eeh
Mtaachana tu, achana tu
Mtaachana tu, achana tu
Mtaachana tu, achana tu
Mtaachana tu, achana tu
Watch Video


Please do not enter any spam link in comment box