Huyu jamaa amaejaaliwa na talanta si haba, si uimbaji tu, Dizzle pia ni muigizaji mahiri pia, Dizzle ambaye kwa sasa anatamba na video yake ya NAKUPENDA MIE ambayo ilimgharimu laki tatu kuitayarisha amefunguka na kusema ya kwamba uigizaji unamvimbisha mfuko vizuri zaidi ya mziki.
‘Tunavyoongea sasa hivi niko LungaLunga, nasambaza video yangu. Nilitengeneza copy 1300 za dvd ya video yangu ndio nazisambaza mashinani…’ muimbaji huyo ambaye ameteuliwa kama NEW ARTISTE OF THE YEAR katika tuzo za Pwani Celebrity Awards2016 ameeleza. Unaweza kumpa support msanii huyo kwa kutume ujumbe mfupi( 3B) kuenda kwa 21195.

Please do not enter any spam link in comment box