Video: Abbigal Ajiandaa Kuteka Mashabiki Wa Pwani Na Wimbo – Usinipe Pressure

0

Ni mmoja kati ya wasanii wa kike ambao wanaonyesha ari na nia yakuteka soko la mziki hapa nchini. Abbigal ni msani wa kike ambaye makao yake ni Nairobi anaamini ya kwamba japo analenga mashabiki wa Afrika Mashariki kwa ujumla, lengo lake kubwa ni mashabiki wa pwani kwani anaamini aina ya mziki anaoufanya unapendwa sana katika eneo la pwani.

Baada ya kuachia nyimbo zake tatu za kwanza, Abbigal ameachia USINIPE PRESSURE, ambayo ameifanyia video kali inayoendana na track hio kali ambayo ilimfanya apewe shangwe kwa sana alipokua anaiachia rasmi katika siku ya CelebrityThursday, usiku wa Alhamisi katika ukumbi wa Dans Lounge/Valencia Inn.

Itazame hapa chinii


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.